Simba ndie mnyama namba moja kuangaliwa na wageni 
katika mbuga zetu. Idadi ya simba katika bara la Afrika imepungua sana 
na katika nchi nyingine wameisha kabisa kutokana na kuwindwa na wenyeji 
kama wafugaji, kuharibika kwa mazingira yao halisi ya kuishi kutokana na
 kuongezeka kwa idadi ya watu pamoja na uwindaji wa kitalii (trophy 
hunting).
Kutoka simba 200,000 karne 2 zilizopita mpaka simba 
20,000- 30,000 ni mshtuko mkubwa sana hasa kwa wadau wa utalii. Tanzania
 ndio nchi yenye simba wengi Afrika kam sio duniani kwa makadirio ya 
simba 14,000.
Kama simba ndio mnyama anayependwa sana na watalii, 
ina maana wakipungua au kutoonekana kutapunguza sana idadi ya utalii 
nchini. 
Kwa mujibu wa shirika la  International Union for 
Conservation of Nature, idadi ya simba Tanzania imepungua kwa  66% 
kutoka 1993 mpaka 2014. Kwa mujibu wa Alexander N. Songorwa 
Director of wildlife for the Tanzanian Ministry of Natural Resources and
 Tourism (2013) in The New York Times, March 17 2013, 
wastani wa simba 200 kuuwa kwa mwaka, hela zinazopatika zinasaidia 
kutunza na kulinda 26 game reserves. Kwahiyo tunategemea uwindaji ili 
tuweze kutunza mapori tengefu na WMA. 
Wahifadhi wengi wanatetea 
uwindaji wakisema unasaidia kulinda maeneo tengefu na ya uwindaji, hela 
inayopatikana inasaidia kujenga shule, hospitali, barabara nk
Uwindaji
 unaweza usiwe sababu kuu kupungua kwa simba lakini ni muda wa Tanzania 
kuzuia uwindaji wa simba. Kama mwananchi wa Tanzania unayependa rasili 
mali zetu ungana nami kupaza sauti kuokoa simba, lakini kuokoa utalii na
 uchumi kwa kupinga uwindaji wa simba nchini
..........................................................................................................................................................
ODD
 as it may sound, American trophy hunters play a critical role in 
protecting wildlife in Tanzania. The millions of dollars that hunters 
spend to go on safari here each year help finance the game reserves, 
wildlife management areas and conservation efforts in our rapidly 
growing country.
This is why we are alarmed that the United States Fish and Wildlife Service
 is considering listing the African lion as endangered. Doing so would 
make it illegal for American hunters to bring their trophies home. Those
 hunters constitute 60 percent of our trophy-hunting market, and losing 
them would be disastrous to our conservation efforts.
In 2011, five animal-rights and conservation groups petitioned the Fish 
and Wildlife Service to list the African lion as endangered, arguing 
that the population had fallen dangerously low because of habitat loss, 
poaching, commercial hunting and new diseases associated with human 
encroachment. “The U.S.,” their petition said, “is by far the largest 
importer of hunting trophies from Tanzania.”
While that is true, the lion population in Tanzania is not endangered. 
We have an estimated 16,800 lions, perhaps 40 percent of all lions on 
the continent, the biggest population in the world. Their numbers are 
stable here, and while our hunting system is not perfect, we have taken 
aggressive efforts to protect our lions.
In Tanzania, lions are hunted under a 21-day safari package. An average of about 200 
lions are shot a year, generating about $1,960,000 in revenue. Money is 
also spent on camp fees, wages, local goods and transportation. And 
hunters almost always come to hunt more than one species, though the 
lion is often the most coveted trophy sought. All told, trophy hunting 
generated roughly $75 million for Tanzania’s economy from 2008 to 2011. (By
 Alexander N. Songorwa is director of wildlife for the Tanzanian 
Ministry of Natural Resources and Tourism.The New York Times, March 17 
2013,
What we say is this, KILLING DO NOT SAVE OUR LIONS, we should stop killing lions for trophy!!
Please help us to save Tanzania's lions by signing on our petition! Thank you!
 
 
 
No comments:
Post a Comment