UTALII ADIMU KISIWA CHA UKEREWE
HANDEBEZYO
HILL SEHEMU ILIYO JUU YA KILELE CHA KILIMA CHA PANGO LA BENKI YA
WATEMI. ENEO AMBALO LILITUMIKA KWA AJILI YA ULINZI NA USALAMA WA KISIWA,
KUONA MAADUI WANAOKUJA KUVAMIA NA KADHALIKA. UKISIMAMA ENEO HILI UNAONA
SEHEMU KUBWA YA KISIWA CHA UKEREWE.
MFANO WA ENEO KUBWA UNALOWEZA KULIONA UKIWA HANDEBEZYO HILL.
KATIKA POZI MASUPER STAR WA KESHO KUTOKA KUSHOTO MELI, MTEBA, MSEKWA, NYEBHUNU, CHIFYWE NA EMMANUEL.
LIKIWA
NA MVUTO WA KIPEKEE HILI NI KANISA LA KWANZA LA ROMAN CATHOLIC
LILILOJENGWA ENZI ZA UKOLONI KTK KISIWA CHA UKARA WILAYANI UKEREWE.
JIWE
LA MSINGI LA MAKUMBUSHO YA OLWEGO LILILOWEKWA NA ALIYEKUA MKUU WA WILAYA BW.
T.A.K MSONGE KWA MAENDELEO YA TAIFA LA TANZANIA. JE! LENGO LIMEFIKIWA?
JIWE HALISI LA MSINGI LILILOWEKWA NA BW. T.A.K MSONGE.
KWA
NYUMA MUONEKANO WA PANGO LA BENKI YA WATEMI WA UKEREWE MAHALA AMBAPO
WATEMI HAO WALIKUWA WAKIHIFADHI MALI ZAO ZA THAMANI, VITO, FEDHA, MADINI
NA KADHALIKA, NA KILA MTEMI ALIKUWA NA SEHEMU YAKE YA HIFADHI. CHINI YA
ULINZI WA UHAKIKA.
MLANGO WA KUINGIA PANGO LA BENKI.
MVUTO ENEO LA MBELE BARAZANI LANGO KUU LA BENKI YA WATEMI UKEREWE.
MANDHARI
YA KIPEKEE MVUTO WA KITALII PEMBEZONI MWA HIMAYA YA MAKUMBUSHO YA
WATEMI UKEREWE. ENEO LOTE HILI HALINA MLINZI WALA MFANYA USAFI BALI
MWANGALIZI ASIYE LIPWA.
KORIDO INAYOTENGANISHA PANGO LA HIFADHI (SEHEMU YA BENKI YA WATEMI) NA UKUMBI WA MAPUMZIKO.
Habari naALBERT G. SENGO,
Kuna gharama yoyote kutembelea hapo?
ReplyDeleteKwa sasa bado hakuna gharama yoyote ispokuwa unapofika eneo hilo la handebezyo yupo mwangalizi asielipwa ambae unapaswa kumlipa tsh 10,000/= au zaidi kulingana na wing wa watu na lengo la kutembelea eneo husika. Lakini niwafahamishe watanzania kuwa kunayo historia kubwa ya wilaya ya ukerewe,inayojumuisha maeneo yaliyosahaulika kama vile vijiji vya MURUTUNGURU,BULAMBA,BUKINDO,MUSOZI na MASONGA. Pia kunayo mengi ya kuyajua kuhusu watemi wa kikerewe ambapo ukifika KIMIDEU(Kikundi cha Mila na Desturi Ukerewe)kilichopo uwanja wa mongela utapata maelekezo kamili kuhusu historia hiyo, kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa simu nambari
ReplyDelete;+255 766 313 950,
;+255 786 450 950.
KARIBU KISIWA CHA UKEREWE UPATE KILE ULICHOTARAJIA
Karibu Halwego yetu Kwa maendeleo ya utalii wa ndani by Sospeter Majula Mafwele
DeleteAhsante Sana
ReplyDeleteHii ni hazina muhumi sana na ya kihistoria. Viandkiwe vijitabu vidogo na videao fupi fupi za masimulizi ya hadith hizi na nyingiezo za kihistoria Viiswa vya Ukerewe kwa watoto.
ReplyDeleteMwezi huu naelekea ukerewe lakin nahitaji mwenyeji kwa Alie tayali anitafte 0747527772
ReplyDelete