Katika vipengele tisa vya Tuzo za Dunia za Mashindano ya Utalii (WTA) kwa mwaka 2016 zinazotarajiwa kutolewa Disemba 2 mwaka huu huko nchini Maldives, nchi ya Tanzania tayari imesajili vivutio vyake 10 ili kuchuana na nchi nyingine katika tuzo hizo.
Pages
▼
Friday, 30 September 2016
TANZANIA KATIKA TUZO ZA UTALII ZA WORLD TRAVEL AWARDS 2016
Tanzania imebarikiwa kwa kila kitu!
milima, mabonde, mito, wanyama, maziwa, bahari, visiwa, madini ya kila
aina na watu wake wakarimu; yote haya yanaifanya Tanzania kusifika kwa
uzuri wake huku kitovu cha amani kikiwa ndio tunu pekee ya taifa hilo.![mount-kilimanjaro](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vnMJMnozzlq2mVjoNvmN9rcHL5wCUB7p9O5fmdFIlgMORbHzvydVcCzW5RmHIpr09ODJRXJZL_decS844WwR4o3g0Llgeq2G4EiwoQwDlQ83kssYZvxB0u59BRbgvMsPv0kWBykWv4=s0-d)
Katika vipengele tisa vya Tuzo za Dunia za Mashindano ya Utalii (WTA) kwa mwaka 2016 zinazotarajiwa kutolewa Disemba 2 mwaka huu huko nchini Maldives, nchi ya Tanzania tayari imesajili vivutio vyake 10 ili kuchuana na nchi nyingine katika tuzo hizo.
Katika vipengele tisa vya Tuzo za Dunia za Mashindano ya Utalii (WTA) kwa mwaka 2016 zinazotarajiwa kutolewa Disemba 2 mwaka huu huko nchini Maldives, nchi ya Tanzania tayari imesajili vivutio vyake 10 ili kuchuana na nchi nyingine katika tuzo hizo.
No comments:
Post a Comment