Tuesday, 29 March 2016

NI MUDA WA KUPATA MSOSI NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA

Watalii wakijipatia chakula katika hifadhi ya taifa ya Ziwa Manyara. Hapa ni Msasa picnic site