Friday, 24 June 2016

HAPA NIMEKUWEKEA PICHA MBALIMBALI ZA MUONEKANO WA HIFADHI YA RUAHASehemu ya bondo la Mto Ruaha Mkuu inavyoonekana
Viboko wakiwa ndani ya maeneo yao ya kujidai ndani ya Mto Ruaha Mkuu
Watalii wakitembezwa kwa miguu ndani ya hifadhi
Pundamilia wanavyovutia
Twiga wanavyojihami
Watalii wakiangalia manzari nzuri ya hifadhi
Simba wakiwa hawana hofu na wageni
Kundi la Tembo likihami Tembo watoto
Umbile la tembo lilivyo
Kombe akikatiza ndani ya hifadhi
Tandala wanavyoitangaza vizuri hifadhi ya Ruaha kwa uzuri wake
Swala wakijihami
Mandhari nzuri
Picha na Bongo Leaks