MTOTO WA RAISI KIKWETE ASHINDA KURA ZA MAONI (CCM) KUGOMBEA UBUNGE HUKO CHALINZE MKOANI PWANI
Mtoto wa Rais Kikwete, Ridhiwani Kikwete ameshinda kura za maoni kwa tiketi ya CCM baada ya kuwabwaga wengine watatu kwa kupata kura 758 dhidi ya Imani Madega kura 335, Ramadhani Maneno kura 206 na Changwa Mohamed kura 17
No comments:
Post a Comment