AL AHLY WALISHINDA KWA GOLI MOJA KWA BILA NDANI YA DAKIKA 90 HIVYO KUFANYA MATOKEO KUWA 1-1, NDIPO MECHI IKAAMUALIWA KWA MIKWAJU YA PENALTI
Ahly wakapata penati 4 - 3 Young Africans
Waliopata Yanga Didier, Canavaro, Okwi huku waliokosa ni Oscar, Bahanuzi na Twite
Al ahly wanafuzu hatua ya 16 bora
No comments:
Post a Comment