1.0 MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA
III –(NAFASI 100)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kufanya doria ndani na nje ya
maeneo ya hifadhi
• Kudhibiti vitendo vya ujangili nje
na ndani ya hifadhi
• Kusimamia shughuli za uwindaji wa
kitalii na utalii wa picha
• Kulinda binadamu na mali zake
dhidi ya Wanyamapori
• Kukusanya na kulinda Nyara za
Serikali
• Kufanya usafi na ulinzi wa kambi
• Kusimamia uingiaji na utokaji wa
watu na mali zao kwenye hifadhi
• Kukusanya na kutunza vielelezo vya
ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani
• Kukagua wanyamapori kwenye
mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao
• Kusimamia taratibu za kusafirisha
wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi
• Kudhibiti wanyamapori waharibifu
• Kudhibiti moto kwenye hifadhi
• Kufanya kazi nyingine
atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake
1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha
IV au kidato cha VI wenye Astashahada ya Uhifadhi Wanyamapori
(Technician Certificate in Wildlife
Management) kutoka
Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori
Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa
na Serikali.
1.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya
Serikali yaani TGS B2 kwa mwezi.
2.0 MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA
III –(NAFASI 327)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
2.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kufanya doria ndani na nje ya
maeneo ya hifadhi
• Kudhibiti vitendo vya ujangili nje
na ndani ya hifadhi
• Kusimamia shughuli za uwindaji wa
kitalii na utalii wa picha
• Kulinda binadamu na mali zake
dhidi ya Wanyamapori
• Kukusanya na kulinda Nyara za
Serikali
• Kufanya usafi na ulinzi wa kambi
• Kusimamia uingiaji na utokaji wa
watu na mali zao kwenye hifadhi
• Kukusanya na kutunza vielelezo vya
ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani
• Kukagua wanyamapori kwenye
mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao
• Kusimamia taratibu za kusafirisha
wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi
• Kudhibiti wanyamapori waharibifu
• Kudhibiti moto kwenye hifadhi
• Kufanya kazi nyingine
atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake
2.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha
IV au kidato cha VI wenye Astashahada ya Awali ya Uhifadhi wa Wanyamapori (Basic Technician Certificate in
Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine
kinachotambuliwa na Serikali.
2.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya
Serikali yaani TGS B1 kwa mwezi.
3.0 MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA
II –(NAFASI 10)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
3.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kufanya doria ndani na nje ya
maeneo ya hifadhi
• Kudhibiti vitendo vya ujangili nje
na ndani ya hifadhi
• Kusimamia uwindaji wa kitalii na
utalii wa picha
• Kulinda Nyara za Serikali
• Kusimamia usafirishaji wa
wanyamapori na nyara nje na ndani ya Nchi
• Kusimamia matumizi ya magari ya
doria
• Kukagua wanyamapori kwenye
mashamba na mazizi ya wanyamapori na kutunza takwimu zao
• Kuratibu uingiaji wa wageni katika
Mapori ya Akiba
• Kudhibiti moto katika hifadhi
• Kukusanya na kutunza vielelezo vya
ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani
• Kukusanya takwimu za wanyama na
mimea kwenye hifadhi
• Kufanya kazi nyingine
atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake
3.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha
IV au kidato cha VI wenye Stashahada ya Uhifadhi Wanyamapori (Diploma in Wildlife Management) kutoka Chuo
cha Usimamizi Wanyamapori Mweka au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
3.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya
Serikali yaani TGS C kwa mwezi
AFISA UTALII DARAJA LA II - 15 POST
Employer: Ministry of Natural Resources and Tourism
Date Published: 2015-07-09
Application Deadline: 2015-07-24
Date Published: 2015-07-09
Application Deadline: 2015-07-24
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
• Kukusanya taarifa za maeneo
mapya yenye vivutio vya utalii kwa kushirikiana na wadau wote
• Kutoa leseni za utalii kwa mahoteli na wakala wa utalii
• Kukusanya na kuweka takwimu za watalii na safari za kitalii
• Kutafuta na kupanga nafasi za masomo ya utalii ndani na nje ya nchi
• Kujibu malalamiko kutoka kwa watalii
• Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau katika uendeshaji wa biashara ya utalii
• Kuandaa kaguzi mbalimbali za wakala wa utalii
• Kuchambua miradi ya wakala wa utalii na hoteli
• Kukagua hoteli, loji na migahawa
• Kujibu na kufuatilia malalamiko yanayotolewa na watalii
• Kutoa ushauri wa kitaalaam kwa wakala wa utalii
• Kukusanya takwimu za watalii kwenye sehemu/ vituo nchini vya kuingilia/ kutoka kwa wageni
• Kutunza kumbukumbu za vitabu/ majalada ya maktaba ya utalii
• Kutayarisha taarifa za kila mwezi ya takwimu ya watalii walioingia nchini na mapato yaliyopatikana
• Kufanya tafiti ndogo “survey” kwenye hifadhi za Taifa na maeneo
• Kufuatilia kwa karibu na kushirikiana na VETA juu ya maendeleo ya vyuo vinavyotoa mafunzo ya utalii nchini
• Kuratibu miradi yote inayohusiana na utoaji wa mafunzo ya utalii
• Kutayarisha ripoti ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima
• Kufuatilia kwa ukaribu maendeleo ya sekta kwa kufanya savey
• Kutayarisha ripoti na kusambaza kwa wajumbe na kufuatilia utekelezaji wa maazimio
• Kupitia miongozo inayohusu ‘ Tourism Facilitation Committee’
• Kuratibu shughuri za kubuni vivutio utalii na mienendo mipya ya kuendeleza utalii utalii
• Kutayarisha na kuhakiki vivutio vya utalii nchini
• Kuitisha mikutano/ semina za uhamasishaji kuhusu uendeshaji utalii
• Kushiriki katika kupitia ripoti za EIA kuhusu miradi ya utalii
• Kushirikiana na Mashirika? Taasisi mbalimbali za mazingira katika shughuri zihusuzo utalii na mazingira
• Kukusanya rasilimali za uendeshaji katika vyanzo vya ndani na nje

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
• Kuajiriwa wenye Shahada/
Stashahada ya juu katika mojawapo ya fani za Utalii, Hoteli, Uhusiano wa
kimataifa, Biashara (masoko) au Sheria (Commercial law) kutoka vyuo
vinavyotambuliwa na serikali
REMUNERATION: Salary Scale TGS D
MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa
Tanzania.
ii. Waombaji wote waambatishe cheti
cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni
Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na
walizonazo, wapitishe barua zao za maombi
ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na
Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa
iandikwe katika kichwa cha habari cha barua na juu ya bahasha, kutozingatiwa hili kutasababisha maombi ya
kazi kuwa batili.
v. Waombaji waambatishe maelez
o binafsi yanayojitosheleza
(Detailed C.V) yenye anwani na namba za
simu za kuaminika pamoja na majina
ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na vyeti
vya taaluma, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita
kwa wale waliofikia kiwango hicho na
vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka au
kupotea.
-Shahada ya juu/Shahada/Stashahada
ya juu/Stashahada/Astashahada
.-Cheti cha mtihani wa kidato cha IV
na VI
-Cheti cha Kompyuta
-Vyeti vya kitaaluma (Professional
certificates from respective boards)
-Picha moja “Passport size” ya hivi
karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii. “Transcripts”, “Testmonials”, “
Provisional Results”, “Statement of
results”, hati matokeo za kidato
cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI
RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji wawe na umri usiozidi
miaka 45.
ix. Waombaji waliostaafishwa katika
Utumishi wa Umma hawaruhusiwi ku
omba isipokuwa kama
wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
x. Waombaji kazi ambao tayari ni
waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma
wasiombe na wanatakiwa kuzingatia
maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa
tar
ehe 30 Novemba, 2010.
xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa
za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xii. Mwisho wa kupokea barua za
maombi ni tarehe 15 Aprili, 2014
xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua
kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti
ya Ajira HAURUHUSIWI.
xiv. Waombaji waliosoma nje ya
Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika
(TCU na NECTA).
xv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa
Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani Ifuatayo;-
Katibu, AU Secretary,
Sekretarieti ya Ajira katika Public
Service Recruitment
Utumishi wa Umma, Secretariat,
SLP.63100, P.O.Box 63100
Dar es Salaam. Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment