WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , MHE. LAZARO NYALANDU AAGWA RASMI NA WAJUMBE WA TIMU YA MENEJIMENTI YA WIZARA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI ALIYOITUMIKIA WIZARA HIYO AKIWA
WAZIRI. HAFLA HIYO FUPI YA KUMUAGA MHE. LAZARO NYALANDU IMEFANYIKA LEO TAREHE 4/11/2015 JIONI JIJINI DARES SALAAM, MAKAO MAKUU YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, MPINGO HOUSE
No comments:
Post a Comment