Maporomoko ya maji
haya ukiachilia kuwa ni ya pili baada ya yale ya Tugela Afrika ya
Kusini lakini pia ndiyo maporomoko pekee yanayogawa mpaka wa nchi mbili.
Maporomoko haya yamekuwa yakionekana na kutangazwa kuwa yapo Zambia
na hivyo kuiondoa Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye maporomoko
yanayotambulika duniani.
Katika kijiji cha Kapozwa ambacho pia kilianzishwa kutokana na imani
kuwa ukienda kuoga katika maporomoko hayo utapooza. Kwa kuambiwa hivyo
wananchi wenyeji wa eneo hilo walipaita kijiji jina la kapozwa.
Kalambo Falls, waterfall, the second highest uninterrupted fall in Africa (after Tugela Falls, South Africa), located on the Kalambo River near the southeastern shore of Lake Tanganyika
on the Tanzania-Zambia border. The 704-foot (215-metre) drop in the
falls is only part of a 3,000-foot (900-metre) descent along a 6-mile
(10-kilometre) section of the Kalambo River. In the abyss is the
breeding ground of the rare, giant marabou stork. Primitive tools have been excavated from Kalambo Gorge and dated by radiocarbon from 300,000 bc.
No comments:
Post a Comment