Baadhi
ya Wanahabri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika Hifadhi
ya Taifa ya Milima ya Mahale inayosifika kwa uwepo wa Sokwe Mtu.
Usafiri unaotegemewa katika Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale ni Boti na Mitumbwi .
Meneja
Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania ,Pascal Shelutete
(Mwenye kofia) akiwa na Mkuu wa Idara ya Ujirani Mwema wa Hifadhi ya
Taifa ya Milima ya Mahale ,Romanus Mkonda wakielekea katika vijiji
vinavyopakana na Hifadhi hiyo,Wengine ni wmwandishi wa gazeti la
Uhuru,Jackline Massano na kulia ni Mhariri wa gazeti la Jamhuri ,Mkinga
Mkinga.
Wanahabari
,Said Mnekano maarufu kama Bonge wa Clouds fm,aliyesimama nyuma.akiwa
na Asiraji Mvungi pamoja na muongoza watalii ,Rashid Omary wakiwa katika
moja ya boti zinazotumika kama njia ya usafiri katika Hifadhi ya Taifa
ya Mahale.
Meneja
Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete
akionozana na wanahabari kutembelea kijiji cha Nkokwa kinachopakana na
Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale.
Ili kuwafikia wananchi maeneo mengine wanahabari walilazimika kuvua viatu na kupita katika maji.
Meneja
Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAP A)
akizungumza na wananchi katika kijiji cha Nkonkwa wilayani Uvinza.
Baadhi ya wananchi wanaounda vikundi vya wajasilaimali wakimsikiliza Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) Pascal Shelutete (hayupo pichani ) alipoongozana na wanahabari kutembelea vijiji vinavypakana na Hifadhi ya Taifa ya Miima ya Mahale
No comments:
Post a Comment