Monday, 25 May 2015

PICHA ZA DUMA KUTOKA SERENGETI,TANZANIA

Picha za Duma wakiwa juu ya kisiki cha mti hifadhini Serengeti. Mara nyingi duma hufanya hivi kwaajili ya kuangalia mawindo, kujilinda au wakiwa wanacheza.