Tuesday, 12 April 2016

HAPA HATUMWI MTOTO DUKANI....MADUME YA SIMBA MATATU DHIDI YA MBOGO MMOJA NI HATARII..

 Iliianzia hapa...jamaa yuko mwenyewe, kawaona simba wala hakujali, akawa anatembea zake....
 Mara simba watatu wakamvamia....
 Mapambano ya kumwangusha yakaanza.....
 Kumwangusha mbogo sio mchezo.....
 Bado mbogo hakubali kwenda chini....
 Mara akatumbukia kwenye shimo lenye maji....
 Simba wakaanza kufanya namna ya kumtoa kwenye shimo...
 Sio kazi rahisi kumtoa....
Baada ya zaidi ya lisaa limoja na nusu...simba walifanikiwa kumuua huyu mbogo

No comments:

Post a Comment