Tuesday 21 June 2016

ONJA MSISIMKO WA SIMBA WAKIWAPA BURUDANI WATALII NDANI YA HIFADHI YA MIKUMI


Simba wawili majike wakiwa wametulia wakitazama kwa umakini ni sehemu gani wangeweza kwenda kufanya mawindo yao .
Simba hao wakiwa wametulia 
Simba hao wakiendelea na michezo hapa wanasukumana na kutishiana kama wanataka kuangushana 
Kupanda wamepanda vizuri sasa hapa walikuwa wakihangaika watawezaje kushuka chini ya mti huo.
Simba hao wakiwa wanawashangaa watu mbalimbali waliokuwa wakiwatazama 

Simba mmoja akiwa amekasirika baada ya kutishiwa na mmoja wa watalii lakini alishindwa kuruka kutokana na mti kuwa mrefu 
Katika mapozi

Wakiangalia windo kwa umakini
Bado wanatazama Windo 
Simba hao wakiwa wameanza tena Michezo 


Mmoja wa Simba hao akijaribu kutaka kuruka chini , lakini anaogopa 

 Watalii wakikwa Bize kuwashangaa Simba hao 
Hapa Simba hao wakiwa wanataka kuanza kushuka kutoka Mtini 
Hao wamepata akili na Kuanza Kushuka 
Mmoja wa Simba hao akiwa anashuka mtini , baada ya muda wa masaa mawili kuwepo hapo
Simba hao wakiwa wanashuka 


Kwa Muda wa masaa mawili Watalii walikuwa wametulia wakingoja Simba hao na kuwatazama wakicheza juu ya mti.
Sasa wanaondoka .....

No comments:

Post a Comment