Tuesday 21 June 2016

USISTAAJABU YA FISI UKIONA YA TWIGA

 Wanyama walao nyasi kama twiga wakati mwingine hula au kulamba mifupa kwaajili ya kupata madini ya calcium na phosphorus hasa hasa kwenye maeneo ambayo udongo wake hauna haya madini
 Kwahiyo usishangae kuona twiga akila mfupa....
Now for all of you in the know, I’m sure you realise that this is not carnivorous behaviour but in fact something called osteophagia, which is the act of chewing or sucking on a bone in order to absorb the calcium and phosphorus present. This is most commonly seen in areas with phosphorus poor soil, and a large variety of animals can be seen doing it such as giraffe, zebra, impala and even tortoises.

No comments:

Post a Comment