Sunday, 12 June 2016

UTALII WA NDANI: TAJATI WATEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII KUSINI

Ni maporomoko ya mto Luhuji Njombe mjini, panavutia lakini hapatunzwi,
 Ni maporomoko ya mto Luhuji Njombe mjini, panavutia sana pakitangazwa na kuendelezwa panaweza kua sehemu nzuri ya utalii

 Baadhi ya waandishi wa Habari za utalii na uwekezaji (TAJATI) wakifurahia mazingira ya mapolomoko ya mto Luhuji uliopo Njombe mkoaninNjombe

TAJATI wapokelewa kifalme na wafanyakazi wa Surprise Beach walipotembelea huko makambo mkoani Iringa


                                                            Msafara kuelekea Surpris beach
                                    Kibao kilichopo barabarani kukuelekeza Surprise Beach

                                   Tajati wafurahia mazingira mbalimbali ya Surpris Beach
                     Baadhi ya wanatajati wataalam wa kuendesha mtumbwi akionesha umahili wao
                                   Bahati mbaya dereva Laundenc Simkonda alipata ajali kidogo

 TAJATI watembelea Bwawa la Kambale la muwekezaji Keneth Ndingo lililopo Igurusi Mbeya Mbarali
          Keneth Ndingo mwenye shati jeusi akitoa maelezo namna ya ufugaji samaki kwa wanahabari
          Msimamizi wa shamba la Samaki akieleza namna ya kutunza na kwapatia chakula Samaki


                          Baadhi ya majirani wakieleza jinsi wavyo nufaika na ufugaji wa samaki

No comments:

Post a Comment