Taswira toka hifadhi ya Taifa ya Serengeti
Bahari
ya wanyama imetanda kila sehemu katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
mara baada ya kurejea kutoka nchi jirani katika ile annual animal
migration maarufu duniani
Bwana afya akiwa kazini mbugani Serengeti
Tembo mtoto
Nyumbu na pundamilia ni damu damu...
Huyu kakoswakoswa na Simba punde tu
Twiga akipiga chabo kwa juu
Mawindoni.....
Duma wakipiga stori na kuota jua
Wazee wa kazi...
No comments:
Post a Comment