Lango kuu la kuingilia Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
Hii ni Barabara kuu inayopita Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
Nyani wakiwa wanacheza Barabarani
Muonekano wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi , ikiwa ni sehemu ya Porini ambapo wanyama wanaishi
Baadhi ya wanyama aina ya Swala wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
Pundamilia wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
Kijani Nzuri ikiwa imetawala katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
No comments:
Post a Comment