Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizungumza leo
katika Club ya Yatch, Mwanza kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji
Watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizindua Usafiri
wa Majini (boti) tayari kwa Uhamasishaji Watanzania kutembelea Hifadhi
za Taifa
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizindua Usafiri
wa nchi kavu (gari) tayari kwa kusaidia kampeni ya Uhamasishaji
Watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu na Mkurugenzi wa
TANAPA Allan Kijazi wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wengine
kwenye Halfa ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji Watanzania
kutembelea Hifadhi za Taifa
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akiwa na wanafunzi
mbalimbali wa vyuo vya Mwanza leo katika Halfa ya Uzinduzi wa Kampeni
ya Uhamasishaji Watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa
Mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi akizungumza katika Halfa ya
Uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji Watanzania kutembelea Hifadhi za
Taifa
No comments:
Post a Comment