Sunday, 27 March 2016

PICHA ZA KRETA YA EMPAKAAI, NGORONGORO TANZANIA

Kreta ya Empakaai ilitokana na volcano, ina urefu wa mita 300 na upana wa km 6. Asilimia 75 ya kreta hii ni ziwa lenye maji lenye kina cha mita 85.
Ukiwa Empakai Kreta unaweza kuona Mlima Kilimanjaro, Oldoinyo Lengai and Bonde la Ufa 
.....................................................................................................................................................................
The Empakaai Crater is a collapsed volcanic caldera which is 300 meters high and has a width of 6 km. The Crater is filled with a deep alkaline lake which occupies about 75% of the Crater's floor and is about 85 meters deep. You can see Oldonio Lengai, Mount Kilimanjaro and the Great Rift Valley from the Crater's rim. Walking down the crater you can also have magnificent view of the Mount Lengai

No comments:

Post a Comment