Sunday 27 March 2016

PICHA ZA WAGENI WAKIWA SERENGETI VISITOR CENTER

Seronera Information Centre
It is situated next to the wildlife offices in Seronera and consist of an open-air exhibit on a kopje. There are table and shade available where one can enjoy a packed lunch and is possible to order tea, coffee or soft drinks
Wageni wakipata mahitaji kwenye duka lililopo Visitor Center...
Watalii wakipata maelezo mbali mbali kuhusu mabaki ya mifupa ya wanyama
Serengeti Visitor Center imetengenezwa kwa namna yake...kuna eneo la kutembea ambapo utapta maelezo mengi na mazuri ambayo pengine hujayapata ukiwa game drive.
Watalii wakizunguka kwenye eneo maalumu la kutembea
Hapa kuna maelezo ya Oldupia mmea kama katani kwa jina la kimasai lilitoa jina la"Olduvai Gorge"....
Ndani ya Serengeti Visitor Center kuna pikiniki ambayo wageni hupumzika kupata chakula au vinywaji
Muonekana wa shemu za kukaa za wageni
Magari ya wageni walioleta watalii kupumzika Visitor Center

No comments:

Post a Comment