Wednesday, 25 May 2016

Lake Chala Beauty and harmony, nature at it's best

Lake Chala, quite simply a very special place, making your stay at  the Lake Chala Safari Lodge an unforgettable experience.
 Ziwa Chala lipo katika Kijiji cha Malowa wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kilometa zaidi ya 30 kutoka barabara ya Holili- Himo.
 Ziwa hilo ambalo kwa maelezo ya watu wanaozunguka katika Kijiji hilo wamedai lina miujiza mingi ikiwemo huo wa kutopungua wala kongezeka maji, vile vile  watu wawili ama watatu hufa kila mwaka waingiapo kuogolea katika ziwa hilo.
Pia wanakijiji hao wamedai kuwa maji ya ziwa hilo ukiyaoga ama hata kuyanawa hupunguza mikosi katika zile shida ambazo zimekuwa zikikuzonga katika maisha yako.