Friday, 30 September 2016

TANZANIA KATIKA TUZO ZA UTALII ZA WORLD TRAVEL AWARDS 2016

Tanzania imebarikiwa kwa kila kitu! milima, mabonde, mito, wanyama, maziwa, bahari, visiwa, madini ya kila aina na watu wake wakarimu; yote haya yanaifanya Tanzania kusifika kwa uzuri wake huku kitovu cha amani kikiwa ndio tunu pekee ya taifa hilo.mount-kilimanjaro
Katika vipengele tisa vya Tuzo za Dunia za Mashindano ya Utalii (WTA) kwa mwaka 2016 zinazotarajiwa kutolewa Disemba 2 mwaka huu huko nchini Maldives, nchi ya Tanzania tayari imesajili vivutio vyake 10 ili kuchuana na nchi nyingine katika tuzo hizo.

Msemaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB), Geofrey Tengeneza amesema “Pazia limefunguliwa tangu Septemba 23 na litafungwa Oktoba 24. Kila Mtanzania anaweza kupiga kura kwa kuitembelea tovuti ya WTA na kupiga kura kwenye vipengele vya dunia na Afrika ili kuuleta ushindi nyumbani”.serengetiKwa uchache vipengele ambavyo Tanzania imeviorodhesha ni pamoja na nchi bora ya kuitembelea, ufukwe na kisiwa bora zaidi (Zanzibar), hoteli ya kifahari na kampuni ya utunzaji wa mazingira.

Chema chajiuza kwani uzuri wa Tanzania haufichiki, ni wakati wako sasa mtanzania mzalendo kupiga kura kupitia tovuti ya WTA ili Tanzania itwae tuzo hizi.

TFS YATOA MICHE YA MITI 600 KATIKA SHULE YA SEKONDARI MAMA SALMA KIKWETE KUUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI WA MITI JIJINI DAR ES SALAAM

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo (kulia) akimkabidhi Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, Luhaga Mpina (wa pili kulia) miche 600 ya miti iliyotolewa na ofisi yake kwa ajili ya shule ya Sekondani ya Mama Salma Kikwete Jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni hatua ya kuunga mkono Kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ya upandaji wa miti Jijini Dar es Salaam ijulikanyo kama “Mti Wangu” . Katika uzinduzi huo TFS imechangia miche ya miti 3,000 kati ya miche 8,000 ambayo imepanga kutoa kwa ajili ya kupandwa katika Jiji la Dar es Salaam.
 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, Luhaga Mpina akipanda mti katika Shule ya Sekondani ya Mama Salma Kikwete, Jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni kuunga mkono kampeni ya upanadaji miti Jijini Dar es Salaam iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda, Kampeni hiyo ijulikanayo kama "Mti Wangu" itazinduliwa kesho Oktoba Mosi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania umechangia miche ya miti 600 katika shule hiyo na miche ya miti mingine 3,000 itatolewa kesho wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo kwa ajili ya Jijiji la Dar es Slaam, katika awamu ya pili watachangia tena miche ya miti 5,000


 Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo akizungumza na waandishi wa habari katika hafla hiyo.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mama Salma Kikwete Jijini Dar es Salaam leo katika hafla fupi ya upandaji wa miti shuleni hapo kuunga mkono Kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ya upandaji wa miti, Prof. Silayo amewaasa wanafunzi hao kuwa mstari wa mbele katika utunzaji wa mazingira na upandaji wa miti. Katika hafla hiyo TFS wamekabidhi jumla ya miche ya miti 600.
 Picha ya pamoja kati ya Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, Luhaga Mpina (wa tano kushoto), Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo (wa sita kushoto), Msanii Jackline Wolper, Watumishi na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Mama Salma Kikwete.

Tanzania Nominated for the 23RD Annual World Travel Awards 2016 - Vote for US!

NI MUDA WA KUPIGA KURA KWENYE TUZO ZA WORLD TRAVEL ambapo Tanzania tumeingiza majina 10.
JINSI YA KUPIGA KURA: Bonyeza link chini kabisa, jisajili, piga kura kwa majina 10 ya Tanania katika vipengele mbalimbali


Tanzania has registered ten (10) entries in the nine (9) categories of the World nominations 2016 and thirty two (32) entries in the 17 categories of African nominations 2016 of the World Travel Awards organized by the World Travel Awards in an event planned to take place at Olhuveli Beach and Spa Resort in the Republic of Maldives on December 2, 2016.
http://www.worldtravelawards.com/vote
World's Leading Conservation Company
Chumbe Island Coral Park, Tanzania, Africa
  •  
World's Leading Dive Destination
  •  
  •  
Zanzibar, Tanzania
  • Diamonds La Gemma dell'Est, Zanzibar, Tanzania

World's Leading Honeymoon Resort
Essque Zalu Zanzibar
World's Leading Island Destination
  •  
Zanzibar, Tanzania
World's Leading Luxury Lodge
&Beyond Mnemba Island Lodge, Tanzania
Singita Sasakwa Lodge, Tanzania
World's Leading Private Island Resort
&Beyond Mnemba Island Lodge, Zanzibar
World's Leading Safari Destination
Tanzania
World's Leading Sustainable Tourism Destination
Chumbe Island Coral Park, Tanzania
World's Leading Tourist Attraction
Mount Kilimanjaro, Tanzania
World's Leading Beach Resort
Diamonds La Gemma dell'Est, Zanzibar, Tanzania
LINK: http://www.worldtravelawards.com/vote

Thursday, 29 September 2016

INSTATANAPA CONTEST

Tanzania National Parks is running a contest for its TANAPA Instagram page “tanzaniaparks”. The contest will be for one month starting from October 1st – 31st, 2016.

TERMS AND CONDITIONS
  • The contestant must follow TANAPA page
  • The picture to be used:-
    • Picture of wild animals; WARNING: TANAPA will not be responsible for any downloaded pictures or pictures with no copyrights
    • Picture of himself/herself in the national park; MUST BE IN TANZANIA PARKS ONLY
    • A picture of him or her holding a picture to support wildlife conservation
  • Hashtag used in this contest, #tanzaniaparks then hashtag the park you visited
  • The contestant account shouldn’t be private.
  • Tanzaniaparks might repost the pictures.
  • The contestant should invite friends to like the picture that has been reposted by tanzaniaparks.
  • The “like” must exceed 1000; leading likes from top 5 will be rewarded differently.
  • The reward will be TANAPA giveaways.
  • The picture used must be of the 16 Tanzania National Parks.
  • Gift will be sent by mail to the address of the winner or may be picked from TANAPA offices from Monday to Friday 8.00 – 1600hrs.
The rewards
1st Runner - 5 Tshirts, 2 shirts, 2 flashdrive with TANAPA materials, 3 ties, 12 pens, wildlife CD
2nd Runner - 4 Tshirts, 1 shirt, 2 ties, 1 flashdrive with TANAPA materials, 8 pens, Wildlife CD
3rd Runner - 3 Tshirts, 1 shirt, 1 flashdrive with TANAPA materials, 6 pens, 1 tie, 1 wildlife CD
4th Runner – 2 Tshirt, 1 shirt 4 pens, 1 tie, 1 flash drive with TANAPA materials, Wildlife CD
5th Runner – 1 Tshirts, 1 shirt, 1 flash drive, Wildlife CD, 2 Pens, 1 Tie

Collaboration is key from elephant conservation to global health

This week conservationists, policymakers and business representatives are gathered for the 2017 Conference of the Parties for the Convention on International Trade in Endangered Species, or CITES, which runs through Oct. 5 in Johannesburg, South Africa.
What’s at stake are some major decisions about ivory sales — whether to open them up or whether to encourage the 181 CITES signatories to close their domestic ivory trade.
The domestic ivory ban is a key objective for conservationists, including the Elephants Action Network, which met at the Clinton Global Initiative annual meeting last week, to discuss next steps in their work to stop the killing and trafficking of elephants, and to stop the demand for ivory.

Tanzania: Firm Wins Award in Responsible Tourism

Arusha — Perched on the slopes of an extinct volcano within the Ngorongoro highlands in Arusha Region is a tourist camp that redefines how to sustain the billion dollar industry.
The highlands, as the camp is known, are positioned in the reclusive high altitude wilderness, yet when there one has the view of the famous Ngorongoro Crater and the endless plains of the Serengeti.
The views of Olmoti and Empakaai crater lakes and volcanic mountains within the highlands, such as Oldonyo Lengai, are quite stunning. The camp and similar outfits are most preferred accommodation facilities because they match the natural environment.
The place is among the 11 tourist camps run by the Arusha-based Asilia Lodges, Camps and Safaris Limited. The company has distinguished itself not only in selling the country's rich tourist attractions to the world but in putting into practice the new concept that redefines tourism.
Recently, eight of the nine company's camps were declared winners of the global award in responsible tourism becoming the first local company to be recognised for best practices in the category that is not only environmentally-friendly, but also benefits surrounding communities.

Sunday, 25 September 2016

A warm welcome in a local chaga homestay. 'Magical village on the green slopes of the Kilimanjaro’

The people of Lyamungo welcome you to our Village

Lyamungo, a village in Hai district is typical of those found in the foothills of Mount Kilimanjaro with subsistence agriculture farming in small-holdings as the mainstay of the community. The interface of the village is all about the open smiling people, banana and coffee plantations. The farms provide an interesting sighting. The scenery is breathtaking beautiful and accustomed local ambience is real here in the backdrop of a few traditional houses
The people of Lyamungo offer the following to our visitors;
Coffee farm experience 
Cultural Village walk
Bird watching
A visit to Weru weru river
A view of the local culture
A visit to a Chagga hut
Homestay Experience
A visit to Banana Handcraft makers
 A visit to a women pottery project

They would like to hear from you

Coordinator
P.O.Box 1762, Moshi, Tanzania.
Mobile; +255 787 484 067
               +255 718 876 140
lyamungocultural@yahoo.com

Saturday, 17 September 2016

5 top tips to find your secret Tanzania

Tanzania has some of the most iconic safari destinations. The Rift Valley, Ngorongoro Crater and the Serengeti are all on the so-called Northern Safari Circuit and enjoy many thousands of visitors. So is it really possible to holiday here in quiet areas away from the crowds? If you follow some simple rules, it is.
1. Don’t follow the herds
The wildebeest migration follows an annual cycle seeking out the best grazing. They head to the north of the Serengeti between June and October and to the south from December to March.
Elephants in Northern Serengeti from Lamai Camp
The Serengeti has fantastic resident wildlife even when the herds are elsewhere. So head north in our Winter and south in our Summer. You’ll see a rich diversity of animals and few other people – game viewing at its finest.
2. Stay on the east of the rim
The Ngorongoro Crater is both scenically beautiful and a wildlife haven. Its open plains make game viewing relatively easy and the variety of species make it a rewarding experience. Most visitors descend into the Crater in the morning down the western ‘descent road’. They stay for the day and then exit on the southern ‘ascent road’ in the afternoon.
Lemala vehicle with zebra in Ngorongoro Crater
The smarter safari goer stays on the east of the Crater rim and follows a traditional safari day with a morning and afternoon game drive. Not only do you start and finish your drives in an area with fewer visitors, but your timings mean you avoid the busier times of day.
3. Visit the south of Lake Manyara National Park
Lake Manyara National Park offers visitors a variety of habitats with forests, open grasslands, rocky cliffs and lake frontage. In turn these mean a rich diversity of animals and birdlife. For most a visit here is a short one, crammed into a day’s drive between Arusha and the Ngorongoro Crater. That only allows a brief game drive in the north of the park and misses out many of the interesting sectors.
Lake Manyara Tree Lodge bedroom and verandah
The astute will stay in the south of the park, or in a nearby lodge that allows an entry via the southern gate.
4. Stay south, way south
Access to the northern wildlife reserves is easy. A road runs between Arusha and the Serengeti, and in fact onward to Lake Victoria. This means easier access for more people.
Selous Reserve Tanzania boating on Rufiji River
In contrast the reserves of the south, Selous and Ruaha, are typically fly-in destinations only. While the wildlife is excellent and more safari activities, such as walking and boats, are possible, visitor numbers are way lower.
5. Mainland coast, not Zanzibar
With fine white sandy beaches, clear blue seas, an evocative name, and historical links to Freddie Mercury, what’s not to like about Zanzibar. There’s lots to like, but the well informed head north or south from Dar Es Salaam to Tanzania’s mainland coast. Typically mainland properties sit on their own, offering miles and miles of beach with no need to share with anyone else.
Tanzania beach from Tides Lodge
A safari in Tanzania won’t disappoint, but if you get it right it’s likely to be ‘the best holiday ever’. Take one or more of these tips and you’ll see Tanzania away from the crowds and get a sense of satisfaction a standard tour just won’t provide.

Top 5 Tanzania wildlife experiences

Tanzania is the quintessential African safari destination. Vast swathes of land are given over to national parks and game reserves, where animals roam freely through grassland, marshes, rivers and jungle. The Great Migration sees the Serengeti burst to life as millions of wildebeest move across the land, watched hungrily by lion, cheetah, leopard, wild dog and crocodiles. From remote camps you can head out on foot to track chimpanzees. In the Selous Game Reserve, boats take you along the Rufiji River, passing hippo, yellow-billed storks and colobus monkeys. Tanzania is a country you can return to time and again and still see something new. Below are five of its best wildlife experiences.
The Great Migration in Serengeti National Park
The Great Migration sees huge herds of wildebeest, zebra and gazelle follow the path of the rain between Kenya’s Masai Mara and Serengeti National Park, in the north of Tanzania. To see the phenomenon in the Serengeti, you’ll need to visit between November and July. Wildebeest have their young here between December and March, and you can watch the calves take their first tentative steps and graze on the plains.
Ngorongoro Conservation Area
Arguably the most defining moment during the migration are the treacherous river crossings. The herds often wait for weeks before plucking up the courage to swim across the crocodile-infested waters. While luck plays a large role, your best chance of witnessing a crossing is visiting the northern Serengeti in July, when herds begin to cross the Mara River.
The vast number of wildebeest attracts big cats like lion, leopard and cheetah, who rarely go unfed. Staying in Namiri Plains, in central Serengeti, presents fantastic opportunities for big cat sightings. Now a tented camp, its location was a cheetah research base for 20 years, so the surrounding area has large densities of cheetah and lion.
Secluded river safaris in Selous Game Reserve
One of Tanzania’s largest protected areas, Selous is a quiet wilderness that feels completely undiscovered. Situated in the south of the country, it’s home to Africa’s biggest populations of buffalo and lion, as well as healthy numbers of leopard and wild dog.
Lion, Selous Game Reserve
Staying in Selous, you’ve the chance to step away from 4×4 game drives and focus on alternative safari experiences. Tracking animals on foot with an expert guide opens your eyes to smaller creatures you may not otherwise spot and brings you closer to nature than sitting in a vehicle.
You can also go out on boat trips along the Rufiji River, which runs through the middle of the reserve. From the water, you may see baboons sitting on the banks, hippo cooling off from the heat and crocodiles basking in the sun.
Giraffe stop to quench their thirst, and blue samango and black and white colobus monkeys rustle in the trees. You’ll also spot many bird species sitting on low-hanging branches, including vibrant malachite kingfishers and finch-like weavers making nests in the high riverbanks.
Lake Manze Camp offers authenticity and comfort in the heart of the reserve. Animals are free to roam through the camp, situated on the shores of Lake Manze, and each tent has a private patio where you can sit and watch the wildlife after a boat safari, game drive or bush walk.
Elephant herds in Tarangire National Park
Up in the northeast of Tanzania, just south of Lake Manyara, Tarangire is best visited during the dry season (August to October). This is when the Tarangire River becomes the area’s only major source of water, attracting thirsty animals from across the Maasai Steppe.
Elephant in Tarangire National Park
You’ll have excellent views of the buffalo, giraffe, zebra, wildebeest and warthog congregating in large numbers along the riverbanks. These, in turn, attract predators like lion, cheetah and hyena. It’s also one of the best areas in Tanzania for birdwatching, with over 550 species recorded around the river, grasslands, woodlands and lush swamps.
Most notably, the river draws huge herds of elephant, sometimes 100 strong. Watching the elephant drink and splash around in the water provides endless entertainment. A number of camps have been set up with views directly over the river or waterholes, so you can also watch elephant and other wildlife from your deck.
Oliver’s Camp is situated close to the Minyonyo Pools and Silale Swamps in a remote part of the park. Each luxurious tent has its own deck where you can sit and watch for passing wildlife. Activities on offer include game drives, night drives and walking safaris.
Black rhino spotting in the Ngorongoro Crater
Created some three million years ago when a volcano erupted and collapsed in on itself, the Ngorongoro Crater is the largest intact, unflooded caldera in the world. Stretching 20 km across, sinking 600 m deep and spanning a total area of 300 sq km, it’s situated in the wider Ngorongoro Conservation Area, which borders the south of the Serengeti.
Black rhino, Ngorongoro Crater
Within the crater’s steep, rainforest-covered walls is a dense wildlife population of around 25,000 animals, including the endangered black rhino, lion, elephant, wildebeest, hippo, buffalo, hyena, leopard, cheetah, zebra and many birds. As the walls act as a natural enclosure and water is usually plentiful, most animals stay in the crater year-round.
During the green season (December to April), thousands of flamingos congregate around Lake Magadi within the crater, creating a sea of pink. However, it’s the elusive black rhino that are the area’s main draw. Sightings aren’t guaranteed, but this is the best place to spot them in Tanzania.
Predominantly solitary creatures, you can head out with a guide to track rhino on foot, watching from a distance as they forage and chew on leafy plants.
Camps and lodges in the area offer both game drives and walking safaris into the crater to see the rhino and other wildlife. The luxurious Ngorongoro Crater Lodge is set on the crater’s rim, looking out on sweeping views over the crater floor. Staying here, you’ll have easy access to the crater, with the chance to explore it before others arrive. With a good pair of binoculars, you can view wildlife from your veranda.
Chimpanzee tracking in Mahale Mountains National Park
In the far west of Tanzania, the Mahale Mountains slope up dramatically from the blue water and palm-fringed beaches of Lake Tanganyika. This is an incredibly wild, remote area, where dense montane forest provides a habitat to snuffling warthog, vibrant bee-eaters and shrieking monkeys.
Chimpanzee, Mahale Mountains National Park
Around 1,000 chimpanzees are found in the expanse of trees, making this the best place to see them in the whole of Africa. Living in troops, they’re some of the continent’s only survivors in the wild.
One of the troops, while still wild, has been habituated to humans. You can head out with a guide to track it, hiking through the forest along sloping tracks until you hear chimpanzees’ calls. You then spend time observing them grooming, drinking and playing, as you crouch just a short distance away.
The park is only accessible by charter flight, after which you’ll take a boat to your camp. Very few permits for tracking the chimpanzees are available each year, so the whole experience feels exclusive and intimate.
The proximity of the lake also means you can spend time on the beach, go kayaking or snorkel amongst the hundreds of cichlid fish living in the water.

Thursday, 15 September 2016

German Journalists At Selous to Raise Funds for Campaign

Six journalists from Germany are in Ruvuma Region on a three-day tour to raise funds for energising the anti-poaching campaign in Selous National Park.
Speaking to The Citizen on Tuesday, World Wildlife Fund (WWF) representative Mr Johannes Kirchgater, said the tour is also part of efforts to open up the Southern Zone tourism circuit to the world.
Mr Kirchgater added that besides using journalists, WWF will use social media, including Youtube, to attract tourists.
"We are targeting more than three million people who are watching Youtube as we seek funds for conservations," Mr Kirchgater said.
A Namtumbo District Wildlife Officer, Mr Ernest Nomba, said the lack of vehicles, personnel and weapons are some of the drawbacks in the anti-poaching campaign in the Park.
He called on wananchi living in the neighbourhood of the park not to collaborate with poachers.
According to Aerial Census Survey for Elephants conducted in 2014, about 10,000 elephants in Ruaha-Rungwa ecosystem have disappeared.
However, the survey also shows that in Selous Game Reserve, the world's largest conserved area with about 55,000 square kilometres, has increased to 15,217 from 13,000 in 2013.

Wednesday, 14 September 2016

Tourism earnings on upward trend in June-August

REVENUE from the tourism sector and tourist arrivals have steadily increased by 17 and 2.4 per cent respectively from June to August compared to the same period last year.
A report by the Ministry of Natural Resources and Tourism on the status of the business in the sector and revenues from tourism, indicates that a total of 67.87m/- was earned during the past three months whereas 57.96m/- was collected during the same period last year.
The number of tourists who visited several national parks during the period also climbed up to 348,547 against 340,308 recorded the previous year. The report notes that the success serves as proof that Value Added Tax (VAT) on tourism services, introduced starting this financial year, has no effect on the sector as stakeholders, including legislators and MPs, had projected.
The VAT will be charged on tourist guiding, game driving, water safaris, animal or bird watching, national park fees and ground transport services.

Tuesday, 13 September 2016

SWEDISH COMMITTEE OF ENVIRONMENT AND AGRICULTURE VISITED TANZANIA NATIONAL PARKS

A delegation of 12 members from Swedish Parliament accompanied with the Swedish Ambassador to Tanzania, Katarina Rangnitt visited the Tanzania National Parks’ Headquarters, Arusha to learn on how the organization manages the parks and the challenges it faces.
The Chairman of the Swedish Parliament Committee on Environment and Agriculture, Matilde Ernkrans said that the visit aims at getting an understanding on how different countries with different perspectives manage the wildlife.

env1
Director General of TANAPA, Allan Kijazi and Chairperson of Swedish Parliament committee of Environment and Agriculture, Matilde Ernkrans shaking hands

“This visit to Tanzania National Parks aims at understanding how TANAPA manages wildlife bearing in mind the different interests people have of wildlife and land use.” Said Matilde Ernkrans.
The TANAPA’s Director General, Allan Kijazi in his welcoming note said that he believes that the visit will be an eye opener to success and challenges of conservation facing the organization and how best can be curbed.
env2
Swedish Ambassador to Tanzania Katarina Rangnitt sharing a light moment with The Director General of TANAPA, Allan Kijazi. Besides is the Director of Tourism and Marketing, Ibrahim Musa

The Director of Tourism and Marketing of Tanzania National Parks, Ibrahim Mussa said while presenting “Overview of Conservation and Tourism” that Tourism in Tanzania is 90% wildlife based and contribute 17% of the Revenue and employs more than one million people. This shows how conservation in the national parks is very important to the country’s economy.
“Tourism can be harnessed to bring local economic development in poverty alleviation” said Ibrahim in his presentation to the delegation.
The delegation is heading to Tarangire National Park where they will have another presentation on challenges of conservation of the park and thereafter game viewing and later on they will, together with park management discuss the way forward.

env3
A group picture of Swedish delegation and TANAPA Management

Monday, 12 September 2016

Ban on domestic ivory trade passes at international summit

Nations and environmental groups have agreed to shut down the domestic ivory trade, despite the resolution nearly being derailed by objections from countries including Japan and South Africa.
Following three days of political maneuvering, disagreements and walkouts, delegates at the International Union for Conservation of Nature (IUCN) congress in Hawaii agreed on a text that calls on countries to close the internal trade of ivory “as a matter of urgency”.
The motion holds no legal power but conservationists hope it will spur countries to ban the sale of ivory within their own borders, to help stem the rampant poaching of elephants. The international trade in ivory has been banned since 1989 but in many countries, including the US, UK and China, domestic trade is still allowed for antiques.
“The shutting down of domestic ivory markets will send a clear signal to traffickers and organized criminal syndicates that ivory is worthless and will no longer support their criminal activities causing security problems in local communities and wiping out wildlife,” said Cristian Samper, chief executive of the Wildlife Conservation Society.

Saturday, 10 September 2016

MAPANGO YA KITALII YA AMBONI TANGA

.
 Lango kuu la kuingilia ndani ya mapango ambapo ndani ni Kiza mithili ya usiku TORORO na nilazima muongozaji kuwa na Tochi ya mwanga mkubwa na ndani kujionea vivutio vya ajabu ambavyo huwezi kuamini.
Ndani ya Mapango hayo kuna uchochoro mwembamba uliopinda na upitapo ni lazima utembee kwa Tumbotumbo na endapo ukikwama itakuwa balaa.(Ila haijawahi kutokea, ni maajabu)
 Uchochoro ndani Pango ni ajabu. Inasemekana ndani ya Pango hilo kuna njia ambayo inatokea Mkoa wa Kilimanjaro kwa upande mmoja na mwengine unatokea Mombasa nchini Kenya.
Hili ni moja ya Pango ambalo ukichungulia utaogopa kwani huoni mwisho hata ukitupa jiwe utalisikia baada ya dakika kadhaa tena likiwa halijafika mwisho na linakuwa linagonga pembe za Pango. Waongiozaji wanashauri Pango hilo kwa Mtalii wa ndani na nje kutolisogelea kwani lina nguvu mithili ya Sumaku

Thursday, 8 September 2016

Tourism and hotel investors in Africa rate continent top for investment

Hotel and hospitality industry stakeholders in Africa who are meeting in Tanzania said the African continent remains the world’s most attractive investment area in tourism despite the low figures of tourist inflow from key global travel markets.
They said Africa remains the leading continent in the world and that it is endowed with diversified natural resources, attractive geographical features, and rich history and cultures - all of which attract international tourists to visit this continent.
During their first day at the Fourth Annual Africa Hotel Expansion Summit and Hospitality Round Table in the Tanzanian commercial city of Dar es Salaam, hotel and hospitality industry executives noted that Africa needs to establish intra-Africa travel packages to attract tourists within the continent.

PICHA KUTOKA HIFADHI ZA MIKUMI NA RUAHA KUTOKA KWA MDAU WETU SALMAN HUSSEIN

 Mbogo....
 Watoto wa mbogo....
 Twiga
 Tembo wakinywa maji....
 Pundamilia
 Swala
 Njiwa
Picha kama alivyotutumia Mdau wetu Salman Hussein

JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI YA JUHIWANGUMWA YATAMBULIWA KISHERIA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen Gaudence Milanzi akizungumza kwenye mkutano kabla ya kukabidhi rasmi hati mbili kwa pamoja ya kuitambua Jumuiya ya JUHIWANGUMWA kama chombo halali kilichosajiliwa kisheria kwa ajili ya kusimamia rasilimali za wanyamapori zilizopo ndani ya eneo laJumuiya hiyo kwa tangazo la serikali Na. 204 na hati ya matumizi endelevu ya rasilimali za Maliasili. Makabidhiano hayo yamefanyika jana katika kijiji cha Utete Wilayani Rufiji

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen Gaudence Milanzi ( katikati) akiwa kwenye kikao cha Kamati Endeshi ( Steering Committee) inayosimamia Mradi wa KILOWEMP cha kujadili miradi inayotekelezwa katika maeneo ya Wilaya ya Rufiji. Kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Ubelgiji ( BTC), Bw. Ton Snis na kushoto na upande wa kulia ni Mhifadhi Mkuu wa Idara ya Wanyamapori. Bw. Herman Keryaro.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen Gaudence Milanzi akioneshwa ramani na Mratibu wa mradi Kitaifa wa KILORWEMP Bw. Pellage Kauzeni unaotenganisha kati ya eneo la hifadhi ya Jumuiya ya JUHIWANGUMWA na kijiji cha Utete Wilayani Rufiji kabla ya kukabidhi rasmi hati ya kuitambua Jumuiya hiyo kama chombo halali kilichosajiliwa kisheria kwa ajili ya kusimamia rasilimali za wanyamapori zilizopo ndani ya eneo laJumuiya hiyo kwa tangazo la serikali Na. 204 na hati ya matumizi endelevu ya rasilimali za Maliasili. Makabidhiano hayo yamefanyika jana katika kijiji cha Utete Wilayani Rufiji
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen Gaudence Milanzi ( wa pili kushoto) alipotembelea Kambi ya Watalii jana iitwayo Trackers inayopatikana katika Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya JUHIWANGUMWA mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kukabidhi rasmi hati mbili kwa pamoja ya kuitambua Jumuiya ya JUHIWANGUMWA kama chombo halali kilichosajiliwa kisheria kwa ajili ya kusimamia rasilimali za wanyamapori zilizopo ndani ya eneo laJumuiya hiyo kwa tangazo la serikali Na 204 na hati ya matumizi endelevu ya rasilimali za Maliasili
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen Gaudence Milanzi ( wa pilia kulia aliyekaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na na Kamati Endeshi ( Steering Committee) inayosimamia Mradi wa KILOWEMP katika kikao kilichofanyika jana Wilayani Rufiji . Kamati hiyo ndiyo iliyosaidia kuratibu mpaka kufikia hatua Serikali kuamua kukabidhi hati mbili kwa pamoja katika Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya JUHIWANGUMWA.